Business and Tech

Stay up-to-date with the latest business and tech news on our blog. From industry insights to the latest product releases, our new category has you covered.

Governments vs Social Media: Build That Website

Governments vs Social Media: Build That Website

It is not a wise idea to put all your eggs in one basket. Especially if you have little ownership of that basket. Recent feuds between governments and social media giants highlight the risks of relying on third-party platforms for business. Here’s why owning your...

Kwanini Unafeli Mtandaoni

Kwanini Unafeli Mtandaoni

Hebu tuwe wakweli Kuhusu Kupata Wateja Mtandaoni . Tangu uamue kuuza maarifa mtandaoni hakuna kilichotokea. Juhudi za kupost na kucomment kila mara zinaishia kuwa mbuzi wa masikini –hazizai matunda. Watu hawakufuati kutaka huduma yako. DM yako ni kavu kama jangwa la...

Jipatie Pesa Kwa Kuandika Kwenye Jukwaa La Medium

Jipatie Pesa Kwa Kuandika Kwenye Jukwaa La Medium

Habari kwa Digital Writers Tanzania. Sasa Unaweza kujipatia pesa kwa kuandika kwenye jukwaa la Medium. "We’ve added 77 countries to the Medium Partner Program" taarifa rasmi kutoka Medium ilisema mnamo August 6, 2024.  Kabla ya hapo, Tanzania haikuwemo miongoni mwa...

Kutaka Kuuza Leo Leo Kunagharimu Biashara Yako

Kutaka Kuuza Leo Leo Kunagharimu Biashara Yako

Takribani wiki mbili zilizopita nilipigiwa simu na mfanya biashara mmoja akisema nimsaidie kutengeneza website ambayo itampatia wateja pindi watakapotembelea website yake anasema yeye yuko tayari kulipa kiasi cha pesa ilimradi tu hayo matokeo anayoyataka ayaone. ...

Introducing Tanzlite Host: The New Web Hosting Player in Tanzania

Introducing Tanzlite Host: The New Web Hosting Player in Tanzania

Earlier this year, we introduced Tanzlite Host. This is not just another name in Tanzania's web hosting services; we're rewriting the rules. Here's how our unique approach to business is setting us apart and why it's the most profitable model in the industry: A...

Kitabu: Tengeneza LikedIn Profile Ili Upate Ajira au Wateja

Kitabu: Tengeneza LikedIn Profile Ili Upate Ajira au Wateja

NIKUULIZE SWALI: Unataka kuonekana au kuchukuliwa SERIOUS? Unataka kuonekana UNAJUA au uonekane beginner, mgeni na mshamba wa LinkedIn au mtandao wa X?  Kitabu changu kinakuhusu kama umekuwa ukijitahidi kupost na kucomment lakini hadhi ya jina lako bado DHAIFU na...