Makala za Kiswahili

Karibu ujifunze kuhusu biashara mtandaoni, namna ya kupta wateja, personal branding na mambo mengine muhimu kwenye uchumi wa kidigitali.

Ajira Ni Tatizo: Fanya Mambo Haya Ukiwa Chuoni

Ajira Ni Tatizo: Fanya Mambo Haya Ukiwa Chuoni

Changamoto kubwa inayosumbua vijana wengi ni tatizo la ajira. Kila sehemu utasikia ajira hakuna ila kazi zipo. Umekuwa wimbo unaovunja rekodi kila siku kuanzia juu hadi ngazi ya familia. Wimbo huu unaongoza kwa kuimbwa na wahitimu wengi wa vyuo hapa nchini na kuna...

Usalama Mtandaoni ni nini? Umuhimu na Jinsi Ya Kuwa Salama.

Usalama Mtandaoni ni nini? Umuhimu na Jinsi Ya Kuwa Salama.

Inawezekana wewe ni mmiliki wa simu janja, kompyuta au kifaa kingine kama hivyo. Kama hivyo lazima unatumia mtandao kwa shughuli zako mbali mbali iwe kupata taarifa, kuwasiliana, kufanya malipo au kutoa au kupata huduma mbalimbali.  Lakini je unafahamu kuhusu...

Faida 5 za Kutumia Mtandao Wa LinkedIn Mbali na Kutafuta Kazi

Faida 5 za Kutumia Mtandao Wa LinkedIn Mbali na Kutafuta Kazi

Linkedin ni jukwaa lenye jumla ya watu wapatao milioni 950 kutoka nchi zaidi ya 200 ulimwenguni. Mtandao huu unakua kwa kasi sana kutokana na fursa mbalimbali ambazo watu wanapata hasa wanaotafuta kazi na watangaza biashara. Kuna faida gani za kutumia mtandao wa...

Siri Ya Mafanikio Mtandaoni, Nunua Kitabu Hiki

Siri Ya Mafanikio Mtandaoni, Nunua Kitabu Hiki

Naitwa Shukuru Amos. Kabla sijakudokezea siri ya mafanikio mtandaoni, naomba nikupe stori yangu fupi: Hapo Mwanzo hapakuwa na jina Shukuru Amos kwenye uso wa dunia ya digital marketing. Yote yalianza mara baada ya mimi kutangaziwa kwamba nina wiki mbili zimebaki...

Jinsi ya Kutumia BOOM la Chuo Vizuri Kwa Manufaa Yako Baadae

Jinsi ya Kutumia BOOM la Chuo Vizuri Kwa Manufaa Yako Baadae

BOOM linatoka lini? Hili ni moja ya swali ambalo wanafunzi wanaodhaminiwa na serikali hujiuliza sana hasa wakati wanaanza shahada zao au pindi BOOM linapochelewa kutoka. BOOM ni nini?  BOOM ni fedha ya kujikimu inayotolewa na serikali kwa wanufaika wote wa mkopo...

Fahamu Mambo Matano Kuhusu Internship

Fahamu Mambo Matano Kuhusu Internship

Internship au tarajali imekuwa ni kimbilio kubwa la vijana wengi wanaohitimu chuo baada ya kukosa kazi. Lakini ukweli kuhusu internship, vijana wengi wamekuwa wakiamini watapewa kazi moja kwa moja baada ya muda wa internship kuisha bila kujali upande wa pili. ...

Ukweli Kuhusu Kupata Wateja Mtandaoni (Darasa Muhimu)

Ukweli Kuhusu Kupata Wateja Mtandaoni (Darasa Muhimu)

Watu wengi wanalalamika biashara zao hazipati wateja mtandaoni pamoja na kwamba wanapost bidhaa zao Instagram, WhatsApp na kwenye majukwaa mengine ya digitali. Wengine huanza kufikiri pengine kufungua website itasaidia kupata wateja kuliko kuwa na Instagram au...

Fahamu Fursa Nne Zinazopatikana Kidigitali

Fahamu Fursa Nne Zinazopatikana Kidigitali

Mara nyingi umekuwa ukisikia watu wanaongelea kuhusu fursa unazoweza kufanya kupitia majukwaa ya kidigitali lakini bado hujajua hizo fursa ni zipi, na unawezaje kuzipata? Kwenye makala hii nitakuelezea kwa ukaribu hizo fursa, namna ya kuzipata na jinsi ya kuzitumia...