Makala za Kiswahili

Karibu ujifunze kuhusu biashara mtandaoni, namna ya kupta wateja, personal branding na mambo mengine muhimu kwenye uchumi wa kidigitali.

Jinsi ya Kutengeneza M-Pesa Visa Card Nchini Tanzania

Jinsi ya Kutengeneza M-Pesa Visa Card Nchini Tanzania

Hauhitaji tena Kwenda Bank kufungua akaunti ili upate kadi itakayokuwezesha kufanya malipo mtandaoni, hapa kikubwa una akaunti ya M-Pesa. Au unataka usitumie kadi yako ya CRDB/NMB kufanyia malipo mtandaoni? Chukua simu yako, fuatilia makala hii itakayokusadia kufahamu...

Njia Bora Ya Kujenga na kukuza Jina Mtandaoni

Njia Bora Ya Kujenga na kukuza Jina Mtandaoni

Haijalishi kuwa wewe ni mtoto wa mkulima, huna connection, umetafuta kazi umekosa, watu hawakujui au upo kwenye harakati za kujitafuta. Chukua simu yako zama mtandaoni huko ndiko fursa zilipo. The universal does not belong to anyone group of people, everyone story is...

Fahamu Namna Nzuri Ya Kutumia Mitandao Ya Kijamii?

Fahamu Namna Nzuri Ya Kutumia Mitandao Ya Kijamii?

Je, mitandao inakutumia zaidi kuliko unavyotakiwa kuitumia?. Leo hii mtu akinunua simu kubwa (smartphone) kitu cha kwanza anachokimbilia ni kujipost mtandaoni hata kama yuko kitandani, je hivi ndivyo tunavyotakiwa tuitumie mitandao? Kuwa kwenye ulimwengu wa kidigitali...

Je ni Nini Hatima ya Wale Wanaocode Kwenye Ulimwengu wa AI?

Je ni Nini Hatima ya Wale Wanaocode Kwenye Ulimwengu wa AI?

Kila sehemu AI, AI, AI inaenda kuchukua nafasi za wale wanaocode (Developers). Hata kipindi google inaanza watu walitabiri kuwa developers wengi watakosa kazi.  Je, developers walikosa kazi? AI ni kama google tu. Kwa nini uogope wakati maendeleo ya sayansi na...

Jinsi Nilivyopata Mteja Linkedin Nikiwa Bado Mwanafunzi

Jinsi Nilivyopata Mteja Linkedin Nikiwa Bado Mwanafunzi

Sikuwahi kuamini kama Linkedin ingeweza kunisaidia kupata mteja kwani wanafunzi wengi tunaamini mtandao pekee hauwezi kukufanya upate kazi zenye maana mpaka uajiliwe kwenye makampuni au taasisi. Jambo ambalo linatufanya tuwe na mawazo mgando na hatimae tukose fursa...

Jinsi AI Inavyoweza Kutumia Sauti Yako Kuzungumza na Mtu Mwingine

Jinsi AI Inavyoweza Kutumia Sauti Yako Kuzungumza na Mtu Mwingine

Baada ya Yombo kusikia neno AI linatamkwa sana huku mtaani ikabidi  amuulize jamaa yake Kadozo ili apate kujua zaidi.  Hivi ndivyo Mazungumzo yalivyokuwa. (Kadozo na Yombo ni vijana wanaosoma chuo, BBM) Yombo: Je, unafahamu chochote kuhusu teknolojia ya AI? Kadozo:...

Mbinu Mpya Ya Kupata Kazi Ukihitimu Chuo

Mbinu Mpya Ya Kupata Kazi Ukihitimu Chuo

Soko la ajira ni changamoto kubwa inayosumbua vichwa vya wanafunzi wengi hasa wale wanaohitimu vyuo vikuu katika nyakati hizi. Jambo ambalo linafanya vijana wengi wakose imani ya kufanikiwa tena. Kwanza ijulikane kuwa degree peke yake sio kigezo cha mhitimu kupata...