fbpx
FiFi Swahili: Tovuti Mpya ya Masuala ya Kifedha

FiFi Swahili: Tovuti Mpya ya Masuala ya Kifedha

Kampuni iliyosajiliwa nchini Estonia, FiFi Finance, imeanzisha tovuti ya kifedha ya Kiswahili ili kusaidia wazungumzaji wa Kiswahili kupata habari, elimu na maarifa kuhusu masuala mbalimbali ya fedha ili kuboresha maisha yao. Kiswahili kinazungumzwa zaidi na watu...